Pasipo na maarifa watu hufeli na kua watumwa. Adui mkubwa tulienaye leo ni kutokujua. Usichokijua kinaweza kukuua.
Kutokujua sio vibaya maana ukishagundua udhaifu wako unaweza kuchukua hatua ya kulirekebisha hilo  tatizo ila tatizo ni kukubali kuendelea kuishi na kuto kujua kwasababu hapo kunakua sio kutokujua tena bali ujinga.
Nyuma ya kosa ama kuanguka kwa mwanadamu yoyote ni kutokutii(disobedience)amri ama kanuni za maisha.

Kila kitu kina kanuni na sheria zake na kama utazifata na kuzitii basi lazima utafuraia kwa undani zaidi.  Tuna watu wengi ambao wanaamini kuishi kwa bahati,sio mbaya.lakini bahati sio ya kila mtu na kama huna maalifa,utaijuaje? Kuna waliyo subilia
Bahati hadi uzee ukawakuta,upo tayari kusubili uzeeke ndio uamke? Tafuta maalifa upate uhakika wa maisha kwasababu
Kilichosimama kati yako na ndoto yako ni maalifa.tupo pamoja katika blog hii na usisahau pia kuwaambia marafiki na ndugu zako kuendelea kusoma blog hii kwa lujifunza zaidi.pia tuna facebook page yetu ambayo unaweza kuitembelea ili uweze kujifunza zaidi.kwa mawasiliano zaidi
 0688 440029
facebook page; Elly David Tanzania.