WACHEZAJI wa timu ya taifa ya England hatimaye wameweza kutoka na kufanya mazoezi leo mjini Miami baada ya hali ya hewa kutulia .
Kikosi cha Roy Hodgson kilitarajiwa kufanya mazoezi yao ya kwanza jana jumatatu, lakini dhoruba iliyokuwepo miami aliwafanya wafanye mazoezi kwenye `jimu` badala ya kwenda uwanjani.

0 Comments