
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa, akiagana na wananchi wa Kijiji cha Gallapo, Babati Vijijini mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara akiwa katika ziara yake mkoani Manyara juzi. Picha na Joseph Senga.
0 Comments