
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Lily Munanka walipokua wakingia ndani ya ukumbi wa Tamasha la Africa Day 2013-Golden Jubilee Gala Dinner Siku ya Alhamis Mei 24,2013 ndani ya Ukumbi wa Hilton Hotel uliopo Connecticut Ave, Jijini Washington Dc

Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Lily Munanka alipokuwa na muwakilishi wake ambae ni mwana Mitindo wa (Kwetu Fashion Design) Missy Temeke, akipeperusha bendera ya Tanzania kwenye Tamasha la Africa Day 2013-Golden Jubilee Gala Dinner Siku ya Alhamis Mei 24,2013 ndani ya Ukumbi wa Hilton Hotel Jijini Washington Dc


Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Lily Munanka mbaye amewakilisha Nchini ya Tanzania katika Tamasha la Africa Day 2013 kama Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, kabla balozi mtarajiwa kuwasili nchini hapa.
0 Comments