ASKOFU CHENGULA AONGOZA MAANDAMANO YA JUMAPILI YA MATAWI JIJINI MBEYA

Askofu wa jimbo la mbeya Evaristo Chengula akiongaza maandamano ya jumapili ya matawi kuelekea kanisa la bikira maria wa fatima yaani kanisa la hija jijini mbeya




Nako katikati ya jiji la mbeya maandamano ya jumapili ya matawi yanaendelea kuelekea kanisa la Mt. Anthon wa padua jijini mbeya


Kanisa la hija mwanjelwa.lukaza blog