WANAFUNZI UDOM WAKIFURAHIA BOOM KUINGIA MARA BAADA YA MSOTO WA WIKI 3

Vijana Wa UDOM wakiwa katika Majadiliano mara baada ya Boom kuingia huku wengine wakitabasamu